Music

Zuchu – Sukari (Mp3, Lyrics, Video)

Sukari by Zuchu (Mp3, Lyrics, Video)

Download Sukari Mp3 by Zuchu

Download Mp3

My Money

Video: Sukari by Zuchu

Sukari Lyrics by Zuchu

Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza
Tena nikiizidisha
Ananiamba Koleza
Nikitaka kusitisha
Aniamambia Ongeza
Japo imethibitishwa
Ila itampoteza
Ikipanda ni balaa
Ikishuka ndio Hatari
Asijepata madhara
Akaitwa sanaani
Radha yake msalaha
Shira ya kizanzibari
Nami simpi miwala
Akitaka nampa

Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)
Na akilia njaa
Junjaa Sifanyi hajizi
Namjazia Jaa Juja na zitangawizi
Baba chanja Baba Chanja (Eeee)
Chukua vyote Chukua (Kulaa)
Vitafune ganja ganja (Eeee)
Chakua mwaya Chakua (Kulaa)
Ujibusti na karanga (Eeee)
Tuliza na kitumbua (Kulaa)
Jiadhali na majanga Wee
Usije ukaugua
Ikipanda ni balaa
Ikishuka ndio Hatari
Asijepata madhara
Akaitwa sanaani
Radha yake msalaha
Shira ya kizanzibari
Nami simpi miwala
Akitaka nampa
Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)
Sukari (Nampatia)
Sugar Sukari (Nampatia)
Nimroge kwa nini kashanugewa
Utamu wa sukarini Tamu kolea
Da dambua Wee dambua
Alua alua dambua
Da dambua Wee dambua
Inama kama unafua
Kigulu nyanyua

  Zuchu - Number One Ft Rayvanny (Mp3 Download, Lyrics)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *