Music

Mbosso – Picha Yake (Mp3 Download, Lyrics)

Picha Yake by Mbosso (Mp3 Download, Lyrics)

Download Picha Yake Mp3 by Mbosso

Download Mp3

My Money

Video: Picha Yake by Mbosso

Picha Yake Lyrics by Mbosso

Hee!! hee!!
La la aah aaah

Naishi naisha, hata sura inakosa nuru
Napukutika, mnyonge mwoga mi kunguru
Namridhisha na wa mwisho kwenye musururu
Penzi la kujificha, mbele za watu haiko huru
Sili nikashiba, mwanga ndani nje giza
Kanipa ratiba, zamu yangu kila jumapili
Moyoni mwiba, nahema kwa shida
Penzi msiba, lina niliza mimi yeeh
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yee!le!Le!le!)
Naimani nitakutana na yeye (Aaaah-aaa!aa!a)
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le!)
Naimani huko tutakuwa wenyewe (lalala)

La la la la
Woo wo wo
La la la la
Uuu uu uu u
La la la la
Iye iye iyee le le
La la la la
Silali baridi, usiku natetemeka
Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
Silali baridi ye ye, usiku natetemeka
Mi najitahidi, ila siishi kusononeka
Mmh eh
Ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri
Sio mimi wala wewe, ni mungu mwenyewe
Akaumba jua na mbingu, na mapenzi kama kivuli
Tujifiche mi nawe, sa mbona unaniacha mwenyewe
Wahenga walisha sema, ukipewa ukilema
Unapewa na mwendo, ila kwangu si neema
Yani sisimizi kumuua tembo
Ooh chanda chema
Limebaki neno
Hakuna mapendo
Nilipolenga nimedema
Moyo umekosa malengo, mama oh oh
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (yee!le!Le!le)
Naimani nitakutana na yeye (Aaaa!-aaa!aa!a)
Siku nikifa, nizikwe na picha yake yeye (ee!le!Le!le)
Naimani huko, tutakuwa wenyewe (Lalala)

  Mbosso - Fall (Mp3 Download, Lyrics)

La la la la
Woo wo wo
La la la la
Uuu uu uu u
La la la la
Iye iye iyee le le
La la la la
Silali baridi, usiku natetemeka
Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
Silali baridi ye ye, usiku natetemeka
Mi najitahidi, ila siishi kusononeka
Silali baridi (La la la la)
Mi najitahidi (La la la la)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *