Music

Diamond Platnumz – Kamata

Diamond Platnumz – Kamata Mp3.

Diamond Platnumz – Kamata Mp3 Download

Download Mp3

My Money

Diamond Platnumz – Kamata Lyrics

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata kiuno, kamata bega
Kamata kichwa ka ndoo unabeba
Kamata kimini chalegalega
Wooh! Maana chashuka chini unanitega

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Eeeh! Kama gari ile vuum! vuum! (Vuum! Vuum!)
Mtoto mkali mchum mchum (Mchum! Mchum!)
Ikiwa ngangali ile ngumu ngumu (Ngumu! Ngumu!)
Nenda kamchinjie mbali kwa room room

Sa Twende kamata
Kama unaisakata nyumba kwa bambata
Ile kinoma
Tegeta, Tabata fanya unaifatata
Za mbuzi kakataa, Amegoma Aaii!

Kati kati, Chini Chini, Kamata
Kasi Kasi, speed 120, Kamata
Eeeh! Kama unamenya ndizi, Kamata
Police anashika mwizi, Kamata

  Mbosso - Baikoko Ft Diamond Platnumz (Mp3 Download, Lyrics)

Aah! Mah! Yaleo kiboko
Mwali kanipa nyama kwa kisamvu cha kopo
Ana komesha toto
Nami naleta nyundo nimtwange kokoto

Nasema
Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Kamata, Kamata
Kamatika, kamata
Kamata, Kamata
Mpaka Chini, kamata

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *